Welcome to BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIGH SCHOOL

  • Benjamin William Mkapa High School ni Shule iliyopewa jina la rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa kwa heshima kubwa na uthamini wa mchango wake katika ujenzi wa Taifa.Shule yetu ilianzishwa mwaka 1998 na kufunguliwa rasmi tarehe 06 Desemba 1999 na rais wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa.

    Shule hii ina wanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita, ikiwa na michepuo yote ya sanaa, biashara na sayansi.
    Shule hii ina walimu na wafanyakazi wasio walimu na kupitia ushirikiano na mshikamano baina yao imepelekea mabadiliko chanya katika maendeleo ya kitaaluma na yasiyo ya kitaaluma. Vilevile shule hii imefanikiwa kuwaunga wanafunzi wa michepuo mbalimbali kupitia klabu zilizoanzishwa hapa shuleni,jambo ambalo linaongeza ushirikiano na umoja baina ya wanafunzi wenyewe kwa wenyewe.

    Continue Reading »

Latest Gallery Images